Wikipedia:Mwongozo (Viungo vya Wikipedia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo msaada:picha
No edit summary
Mstari 17:
 
Hapa unatakiwa kuwa kiangilifu
*usiweke maneno hovyo katika mabano mraba na kuanzisha kiungo chekundu manna maneno yaleyale katika mabano yanatakiwa kuwa jina la makala mpya.
*fanya utafiti kama mada iko tayari labda kwa tahajia tofauti; kwa mfano umetafuta nchi ya "[[Aljiria]]" lakini kumbe: "[[Algeria]]" iko tayari!