Tofauti kati ya marekesbisho "Gervais Yao Kouassi"

70 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
(Created page with '{{Football player infobox | jinalamchezaji= Gervinho | picha = 250px | jinakamili = Gervais Yao Kouassi | tareheyakuzaliwa = 1987, Mei 27 | mjia...')
 
{{Football player infobox
| jinalamchezaji= Gervinho
| picha = [[FilePicha:The White Englishman.JPGGervinho1|250px]]
| jinakamili = Gervais Yao Kouassi
| tareheyakuzaliwa = 1987, Mei 27
 
==Kazi==
===Miaka ya awali===
Gervinho alizaliwa katika eneo la Ányama, mji sawa kama mshambulizi wa Sevilla na wa kimataifa wa Ivory Coast [[Arouna Koné]].
 
 
Baada ya misimu miwili saa Toumodi, akaifuata nyayo ya wachezaji wa Ivory Coast na akaenda timu ya ligi ya Ubelgiji,[[KSK Beveren]]. Alicheza huko mpaka mwisho wa msimu wa 2006/07 alipohamia ligi ya [[Ufaransa]] ya [[Ligue 1]] kuchezea timu ya [[Le Mans]].Huku,alicheza pamoja na mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast,Romaric.
[[Picha:Gervinho2.jpg|thumb|200px|left|Gervinho akicheza katika timu ya Lille OSC]]
 
Hapo Mei 2008,baada ya kuwa na msimu wa kucheza soka unaovutia akiwa Ligue 1,iliripotiwa kuwa mshambulizi huyu alikuwa akifuatiliwa na timu kama [[AS Monaco]],[[Paris-St.Germain]],[[Marseille]] na hata timu ya ligi kuu ya Uingereza,[[Arsenal]]. Ripoti ilisema kuwa Arsenal,timu yenye makao yake jijini [[London]] walikuwa wamevutiwa na Gervinho kwa muda mrefu, akiwa amepewa nafasi ya kuungana nao alipokuwa akicheza nchini Ubelgiji.
 
1,188

edits