Tofauti kati ya marekesbisho "Vifaa vya Deni (Soko la Hisa la Nairobi)"

no edit summary
(Created page with 'Kifaa cha deni ni mkopo. Mwombaji hupa ahadi ya kulipa interest fulani kila robo au nusu mwaka kwanzia tarehe Fulani baada ya kupata mkopo huo na pia uahidi kulipa mkopo aliyopew...')
 
Kifaa cha deni ni mkopo. Mwombaji hupa ahadi ya kulipa interest fulani kila robo au nusu mwaka kwanzia tarehe Fulani baada ya kupata mkopo huo na pia uahidi kulipa mkopo aliyopewa. Hivyo basi, faida kutoka kwa kifaa cha deni hutokana na interest. Kwa sasa hivi, vifaa kadha za deni zina interest rate ya 14%, 12%, 01%, 8% kutegemea na aina ya kifaa hicho na siku iliosajiliwa.
Katika [[Soko la Hisa la Nairobi]] waweza kununua na kuuza vifaa vya deni.
 
[[File:Kengen_PIBO.png |thumb|350px|right|Elezo ya kifaa cha deni ya kampuni ya Kengen]
 
 
==Ni nani anayeweza Kuomba fedha ==
Nchini Kenya, makampuni na serikali ndiyo yanaweza kuomba fedha kupitia vifaa vya deni katika soko la hisa. Katika masoko mengine ya hisa, hospitali, vyuo vikuu, mashule na organizations zingine pia zaweza omba fedha kupitia njia hii ikiwa wanaaminiwa na umma.
264

edits