Zain Verjee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
 
Mnamo Januari 16, 2008,alipokuwa akirekodi ripoti kuhusu maandamano ya kupinga serikali mjini Nairobi,aligongwa mgongoni kwa mkebe mwenye gesi ya machozi uliotupwa na polisi.Video hiyo ilionyeshwa baadaye katika stesheni ya CNN.Hakuumia sana katika tukio hilo.
==Masomo==
 
* Verjee alifuzu na digrii katika somo la Kiingereza kutoka [[Chuo Kikuu cha McGill]] mjini [[Montreal]]
Verjee received her undergraduate degree in English from McGill University in Montreal and studied at York University in Canada. She speaks Gujarati, Kiswahili and conversational French.
* Alisoma pia katika [[Chuo Kikuu cha York]] nchini Kanada.
 
* Anazungumza Gujarati, Kiswahili na Kifaransa ya kuongea.
==Marejeo==