Violeta Parra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox musical artist | Jina = Violeta Parra | Img = File:Parra01f.PNG | Img_capt = Violeta Parra katika miaka ya 1960s. | Background = solo_singer | Jina la kuzaliwa = Vi...'
 
No edit summary
Mstari 25:
 
Violeta Parra alijiua kwa kujipiga risasi kwa kichwa katika mwaka wa 1967 kwa sababu ya huzuni kwa kuvunjika kwa uhusiano wake na [[Gilbert Favre]].
[[http://commons.wikimedia.org/wiki/File:Tumba_Violeta_Parra.jpg|thumb|300px|Kaburi ya Violeta Parra]]
 
Wimbo wake unaojulikana zaidi ni ''Gracias a la Vida''(Asante kwa maisha), iliyopigiwa debe Amerika ya Kusini na [[Mercedes Sosa]] na hapo baadaye [[Marekani]] na [[Joan Baez]]. Huu ndio mmojawapo wa nyimbo zinazojulikana kabisa katika Amerika ya Kilatini katika historia.