Violeta Parra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 25:
 
Violeta Parra alijiua kwa kujipiga risasi kwa kichwa katika mwaka wa 1967 kwa sababu ya huzuni kwa kuvunjika kwa uhusiano wake na [[Gilbert Favre]].
[[http://commons.wikimedia.org/wiki/File:Tumba_Violeta_Parra.jpg|thumb|300px|left|Kaburi ya Violeta Parra]]
Wimbo wake unaojulikana zaidi ni ''Gracias a la Vida''(Asante kwa maisha), iliyopigiwa debe Amerika ya Kusini na [[Mercedes Sosa]] na hapo baadaye [[Marekani]] na [[Joan Baez]]. Huu ndio mmojawapo wa nyimbo zinazojulikana kabisa katika Amerika ya Kilatini katika historia.
 
=== Diskografia ==
=== Albamu za Studio ===
*''Chants et danses du chili. Vol. 1'' (1956)