Rutheni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: fa:روتنیم
d roboti Nyongeza: war:Ruthenium; cosmetic changes
Mstari 11:
| densiti husianifu = 12.45
| kiwango cha kuyeyuka= 2607 K (2334 [[°C]])
| kiwango cha kuchemka= 4423 K (4150  °C)
| kiwango utatu =
| % ganda dunia =
Mstari 20:
'''Rutheni''' ni elementi na [[metali]] haba sana duniani. Kikemia ni [[elementi ya mpito]] yenye kifupi cha Ru na [[namba atomia]] 44 katika [[mfumo radidia]].
== Tabia ==
Hutokea katika mitapo ya [[platini]] au pamoja na madini mengine ya [[elementi za kundi ya 10]] katika mfumo radidia. Rutheni ni metali ngumu na [[kechu]] yenye rangi nyeupe-kijivu inayopatikana kama [[fuwele]].
 
== Matumizi ==
Matumizi yake ni katika [[aloi]] pamoja na platini, [[paladi]], [[titani]] na wakati mwingine pia [[dhahabu]] kwa kusudi la kuongeza ugumu wa aloi hizi. Magusano ya umeme ya platini au paladi hudumu muda mrefu kama rutheni imeongezwa.
 
== Jina ==
Jina la "ruthenium" linechaguliwa 1844 na mfumbuzi wa kwanza aliyekuwa Mjerumani Mrusi [[Karl Klaus]] kwa heshima ya Urusi kwa sababu "Ruthenia" ilikuwa jina la [[Kilatini]] kwa [[Urusi]].
 
{{mbegu-kemia}}
 
[[Category:Elementi]]
[[CategoryJamii:MetaliElementi]]
[[Jamii:Metali]]
 
[[af:Rutenium]]
Line 105 ⟶ 106:
[[uz:Ruteniy]]
[[vi:Rutheni]]
[[war:Ruthenium]]
[[yo:Ruthenium]]
[[zh:钌]]