Tofauti kati ya marekesbisho "Kano (jimbo)"

16 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
d
no edit summary
(+ ramani)
d
'''Kano''' ni jimbo la kujitawala katika kaskazini ya [[Nigeria]]. Mji mkuu ni Kano mjini.
 
Jimbo la Kano limepakana na majimbo ya [[Katsina (jimbo)|Katsina]], [[Jigawa]], [[Kaduna]] na [[Bauchi]]. Jimbo lilianzishwa tar. [[27 Mei]] [[1967]]. Gavana wa kwanza alikuwa Abdu Bako kuanzia 1967 hadi Julai 1975. Ibrahim Shekarau amekuwa gavana tangu 29 Mei 2003.
 
Eneo la jimbo ni 20,131 km², idadi ya wakazi 10,077,638 (mwaka 2005). Msongamano wa watu hufikia wakazi 501 kwa kilimita ya mraba.
43,458

edits