1940 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d roboti Nyongeza: nds-nl:1940; cosmetic changes
Mstari 3:
 
== Waliozaliwa ==
* [[4 Januari]] - [[Gao Xingjian]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[2000]])
* [[4 Januari]] - [[Brian Josephson]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1973]])
* [[9 Februari]] - [[John Maxwell Coetzee]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[2003]])
* [[1 Aprili]] - [[Wangari Maathai]], mwanasiasa kutoka [[Kenya]] na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]] mwaka wa [[2004]]
* [[24 Mei]] - [[Joseph Brodsky]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1987]])
* [[7 Julai]] - [[Ringo Starr]] (mwanamuziki [[Uingereza|Mwingereza]])
* [[3 Septemba]] - [[Joseph Sinde Warioba]], Waziri Mkuu wa [[Tanzania]]
* [[7 Septemba]] - [[Dario Argento]], mwongozaji wa filamu kutoka [[Italia]]
* [[9 Oktoba]] - [[John Lennon]] (mwanamuziki [[Uingereza|Mwingereza]])
* [[13 Oktoba]] - [[Pharaoh Sanders]], mwanamuziki wa Jazz kutoka [[Marekani]]
* [[27 Novemba]] - [[Bruce Lee]], mtaalamu wa [[Kung Fu]] na mwigizaji filamu kutoka [[Marekani]]
 
== Waliofariki ==
* [[16 Machi]] - [[Selma Lagerlof]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1909]])
* [[26 Aprili]] - [[Carl Bosch]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1931]])
* [[14 Mei]] - [[Emma Goldman]], mwanaharakati wa [[utawala huria]] kutoka [[Urusi]] na [[Marekani]]
* [[20 Mei]] - [[Verner von Heidenstam]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1916]])
* [[17 Juni]] - [[Arthur Harden]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1929]])
* [[30 Agosti]] - [[Joseph John Thomson]], mwanafizikia kutoka [[Uingereza]] na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1906]]
* [[27 Septemba]] - [[Julius Wagner-Jauregg]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1927]])
 
[[Jamii:Karne ya 20]]
Mstari 112:
[[nap:1940]]
[[nds:1940]]
[[nds-nl:1940]]
[[new:ई सं १९४०]]
[[nl:1940]]