Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula''' ni mfumo katika mwili wa binadamu na mamalia wengine unaohusika na umeng'enyaji wa chakula mpaka kuwa katika hali inayoweza kusharabiwa na mw...'
 
Mstari 53:
Umeng’enywaji wa chakula cha protini huanzia katika tumbo.
Kwa kutumia misuli yake, tumbo husaidia katika kuchanganya chakula na misusumo ya tumbo, hivyo kuboresha zoezi la umeng’enyaji tumboni.
Usharabiwaji wa maji, alkoholi na baadhi ya vitamin hutokea katika tumbo. Mfuko wa tumbo una misuli ambayo husinyaa na kutanuka mara nyingi, hivyo kwa muda wote chakula kinapokuwa kwenye mfuko huo huchanganywachanganywa. Kitendo hicho pamoja na athari za misusumo iliyopo kwenye mfuko wa tumbo husababisha kufanyika kwa tuitumbo (kiingereza huitwa chyme).
Mfuko wa tumbo una misuli ambayo husinyaa na kutanuka mara nyingi, hivyo kwa muda wote chakula kinapokuwa kwenye mfuko huo huchanganywachanganywa. Kitendo hicho pamoja na athari za misusumo iliyopo kwenye mfuko wa tumbo husababisha kufanyika kwa tuitumbo (kiingereza huitwa chyme).
 
==Utumbo mwembamba==