Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 27:
Katika mfuko wa tumbo, kuta za tumbo zina tezi (gastric glands) zitoazo misusumo ya gastriki (gastric juice) ambayo huwa na aside ya haidrokloriki, uteute na kimeng’enya. Vimeng’enya vinavyotolewa tumboni ni pepsinogen na prorennin.
 
===Asidi ya Haidrokloriki====
 
Asidi ya haidrokloriki husaidia kufanya mambo yafuatayo tumboni:
Mstari 94:
 
Chakula kinachotoka katika utumbo mwembamba na kuingia utumbo mpana huwa ni kile ambacho hakikuweza kumeng’enywa au kile ambacho kimeng’enywa lakini hakikusharabiwa. Sehemu ndogo tu ya chakula kilichomeng’enywa husharabiwa na utumbo mpana. Sehemu kubwa ya maji iliyotokana na mmeng’enyo wa chakula husharabiwa na utumbo mpana. Sehemu iliyobaki ya chakula huelekea kwenye puru na kutolewa nje kupitia njia ya haja kubwa kama kinyeshi.
 
==Tazama Pia==
 
==Viungo vya Nje==
 
==Marejeo==