Jiolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ug:گېئولوگىيە
d roboti Nyongeza: ht:Jeoloji; cosmetic changes
Mstari 8:
 
Kuna masomo madogo ndani ya jiolojia kama vile:
* [[Petrolojia]] ni elimu ya mawe na [[Mwamba (jiolojia)|miamba]]
* [[Mineralojia]] ni elimu ya madini
* [[Jiolojia ya kihistoria]] ni elimu ya matokeo yaliyosababisha kutokea kwa mawe, miamba, milima na mabara jinsi yalivyo leo
* [[Paleontolojia]] ni elimu ya [[visukuku]] (mabaki ya miili ya wanyama wa kale yaliyokuwa kama mwamba)
* [[Hidrojiolojia]] ni elimu ya hali ya maji chini ya uso wa dunia
* [[Volkenolojia]] ni elimu ya volkeno kwenye mabara au chini ya bahari
 
== Aina za miamba ==
Mstari 87:
[[hi:भूविज्ञान]]
[[hr:Geologija]]
[[ht:Jeoloji]]
[[hu:Geológia]]
[[ia:Geologia]]