1913 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
d roboti Nyongeza: qu:1913; cosmetic changes
Mstari 3:
 
== Waliozaliwa ==
* [[9 Januari]] - [[Richard Nixon]], Rais wa [[Marekani]] (1969-74)
* [[4 Februari]] - [[Rosa Parks]], mwanaharakati dhidi ya [[ubaguzi wa rangi]]
* [[3 Mei]] - [[William Inge]] (mwandishi [[Marekani|Mmarekani]], na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]], mwaka wa [[1954]])
* [[25 Juni]] - [[Aime Cesaire]] (mwandishi kutoka [[Martinique]])
* [[12 Julai]] - [[Willis Lamb]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1955]])
* [[14 Julai]] - [[Gerald Ford]], Rais wa [[Marekani]] (1974-77)
* [[10 Agosti]] - [[Wolfgang Paul]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1989]]
* [[20 Agosti]] - [[Roger Sperry]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1981]]
* [[4 Septemba]] - [[Stanford Moore]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1972]]
* [[10 Oktoba]] - [[Claude Simon]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1985]])
* [[25 Oktoba]] - [[Klaus Barbie]], mwanajeshi wa [[Schutzstaffel|SS]] ya [[Adolf Hitler]]
* [[7 Novemba]] - [[Albert Camus]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1957]])
* [[18 Desemba]] - [[Willy Brandt]], [[Chansela]] wa [[Ujerumani]] (1969-1974)
 
== Waliofariki ==
* [[29 Julai]] - [[Tobias Asser]] (mwanasheria [[Uholanzi|Mholanzi]], na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]], mwaka wa [[1911]])
* [[12 Desemba]] - [[Menelik II]], mfalme mkuu wa [[Uhabeshi]]
 
[[Jamii:Karne ya 20]]
Mstari 121:
[[pl:1913]]
[[pt:1913]]
[[qu:1913]]
[[ro:1913]]
[[ru:1913 год]]