1904 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yi:1904
d roboti Nyongeza: qu:1904; cosmetic changes
Mstari 3:
 
== Waliozaliwa ==
* [[2 Machi]] - [[Theodor Seuss Geisel]] (anajulikana hasa kama '''Dr. Seuss''', mwandishi [[Marekani|Mmarekani]] kwa watoto)
* [[6 Aprili]] - [[Kurt Georg Kiesinger]], [[Chansela]] wa [[Ujerumani]] (1966-1969)
* [[6 Mei]] - [[Harry Martinson]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1974]])
* [[11 Mei]] - [[Salvador Dali]], mchoraji kutoka [[Hispania]]
* [[12 Julai]] - [[Pablo Neruda]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1971]])
* [[14 Julai]] - [[Isaac Bashevis Singer]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1978]])
* [[28 Julai]] - [[Pavel Cherenkov]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1958]])
* [[7 Agosti]] - [[Ralph Bunche]] (mwanasiasa [[Marekani|Mmarekani]], na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]], mwaka wa [[1950]])
* [[16 Agosti]] - [[Wendell Stanley]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1946]])
* [[20 Agosti]] - [[Werner Forssmann]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1956]])
* [[21 Agosti]] - [[Count Basie]], mwanamuziki wa Jazz kutoka [[Marekani]]
* [[3 Oktoba]] - [[Charles Pedersen]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1987]]
* [[16 Novemba]] - [[Nnamdi Azikiwe]], Rais wa kwanza wa [[Nigeria]]
* [[22 Novemba]] - [[Louis Neel]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1970]])
* [[25 Desemba]] - [[Gerhard Herzberg]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1971]]
 
== Waliofariki ==
* [[13 Aprili]] - [[Vasili Vereshchagin]], msanii mchoraji kutoka [[Urusi]]
* [[10 Mei]] - [[Henry Morton Stanley]], mwandishi wa habari kutoka [[Welisi]] na [[Marekani]] aliyesafiri hasa [[Afrika Mashariki]]
* [[15 Julai]] - [[Anton Chekhov]], mwandishi [[Urusi|Mrusi]]
* [[24 Septemba]] - [[Niels Ryberg Finsen]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1903]])
 
[[Jamii:Karne ya 20]]
Mstari 126:
[[pl:1904]]
[[pt:1904]]
[[qu:1904]]
[[ro:1904]]
[[roa-rup:1904]]