Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{mbegu-historia}}'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Vladimir Putin at the Millennium Summit 6-8 September 2000-23.jpg|thumb|300px|Leaders of the five permanent member states at a summit in 2000]]
{{mbegu-historia}}
 
'''Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa''' ni mojawapo ya viungo muhimu vya [[Umoja wa Mataifa]] na lina jukumu la kudumisha amani na usalama ulimwenguni. Nguvu zake, zilizofafanuliwa katika Mkataba wa Umoja wa Mataifa, ni kama vile kuanzisha oparesheni ya kudumisha amani na kuruhusu hatua za kijeshi. Nguvu zake ni wazi kupitia Maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
 
Baraza la usalama lilikuwa na mkutano wake wa kwanza mnamo tarehe 17 mwezi Januari mwaka wa 1946 katika jumba la Church House mjini [[London]]. Tangu mkutano wake wa kwanza, baraza hilo ambalo halifungi mikutano yake, limesafiri kwa upana, likifanya mikutano katika miji mingi, kama vile [[Paris]] and Addis Ababa, na pia katika makao yake makuu katika jumba la Umoja wa Mataifa mjini New York.
 
 
Kuna wanachama 15 wa Braza la Usalama. Kati ya hao watano ni wanachama wa kuduma na wana haki ya kura maalum ya kupitisha miswada: ([[Uchina]], [[Ufaransa]], [[Urusi]], [[Uingereza]], [[Marekani]]) na wanachama kumi wa kuchaguliwa ambao si wa kudumu wenye vipindi vya miaka miwili. Mpangilio msingi umeelezewa katika Sura ya V ya Mkataba wa umohja wa Mataifa. Wanachama wa Baraza la Usalama lazima wawe daima katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York ili Baraza la Usalama liweze kukutana wakati wowote. Jambo hili la Mktaba wa Umoja wa Mataifa lilifanywa kimakusudi kwa sababu [[Shirikisho la Mataifa]] lilishindwa mara nyingi kutatua shida za kidharura.
 
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Sheria]]
[[Jamii:Mashirika]]