Maana ya maisha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 117:
{{quote|Kila tajriba na kila swali, na vilevile, kila tendo na chaguo la tendo, linadhaniwa kuwa na zuri fulani kama lengo lake. Hii ndio sababu mbona lile zuri limefafanuliwa ifaavyo kama lengo la bidii yote [...]<br>Kila kitu hufanywa na lengo, na lengo hilo ni "zuri".|Maadili ya Kinikomakea 1.1}}
 
Hata hivyo, ikiwa kitendo A kinafanyika ili kufikia lengo B, kisha lengo B pia litakuwa na lengo, lengo C, na lengo C pia litakuwa na lengo, na hivyo muundo huu utaendelea, mpaka kitu kisimamishe [[kuendelea kwa muundo huu bila mwisho]]. Suluhisho la Aristotle ni ''[[Summum bonum|Kizuri Kikuu]]'', ambacho ni cha kuwaniwa kwa ajili yake pekee, ni lengo lake lenyewe. Kizuri Kikuu hakiwaniwi kwa ajili ya kufikia mengine mema, na mengine yote 'mema' yanayowaniwa kwa ajili yake. Hili linahusisha kufikia [[eudaemonia]], ambalo kawaida hutafsiriwa kama "furaha", "ustawi", "kutokosa chochote muhimu", na "ubora".
 
====Falsafa ya Shaka====