Maana ya maisha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 142:
 
====Falsafa ya Uvumilivu====
[[Falsafa ya Uvumilivu]] hufunza kwamba kuishi kulingana na fikira mema ni kuwa katika uwiano na mpango wa ulimwengu wa kimungu, unaotokana na mtu kufahamu ''[[logos]]'' (fikira), ya ulimwenguni kote, thamani muhimu inayopatikana kwa wote. Maana ya maisha ni ''[[uhuru kutoka mateso]]'' kupitia ''apatheia '' (Gr: απαθεια), yaani kuwa na lengo, kua na "uamuzi wazi" "siyo" kutofautiana. Mashauri ya moja kwa moja ya falsafa ya uvumilivu ni fadhila, fikira na [[sheria ya kiasili]], zinazojumuisha kuendeleza kujidhibiti kwa kibinafsi na ujasiri wa kiakili kama njia za kuzishinda hisia haribifu. Mwenye kuifuata falsafa ya uvumilivu hanuii kuzizima hisia, bali ni kuziepuka shida za kihisia, kwa kuendeleza uamuzi wazi na utulivu wa kindani kupitia uzoefu makini wa kimantiki, kutafakari, na kuziweka fikira mahali pamoja.
 
Msingi wa kimaadili wa falsafa ya uvumilivu ni kuwa "zuri liko katika hali ya nafsi", yenyewe, inaonyeshwa katika [[hekima]] na kujidhibiti, hivyo kuboresha ustawi wa kiroho: "Fadhila" inatokana na "nia" ambayo inawiana na Maumbile."<ref name="Russel" /> Kanuni inatumika katika uhusiano wa kibinafsi, yaani: "kuwa huru kutokana na hasira, na wivu"..<ref name="Russel" />
 
 
===Falsafa za enzi ya Kutaalamika===