Tofauti kati ya marekesbisho "Maana ya maisha"

====Udhanaishi====
{{Main|Maana (dhanaishi)}}
[[File:The Scream.jpg|thumb|right|upright|Mchoro wa msanii [[Edvard Munch]] uitwao ''Nduru'', unaonyesha hofu ya udhanaishi.]]
 
Kila mwanaume na kila mwanamke anaumba kiini (maana) ya maisha yake; maisha hayadhamiriwi na mungu mwenye nguvu zilizozidi za kibinadamu au mamlaka ya kidunia, kila mtu yuko huru. Kwa hivyo, mambo muhimu yanayomuendesha mtu kimaadili ni ''vitendo'', ''uhuru'' na ''uamuzi'', kwa hivyo, [[udhanaishi]] unapinga ufikiriaji na uchanya. Katika kutafuta maana ya maisha, mdhanaishi anatazama ambapo watu hupata maana ya maisha, ambapo katika kutumia fikira tu kama chanzo cha maana ni pungufu; Upungufu huibua hisia za wasiwasi na hofu, zinazohisika katika kukabiliana na [[uhuru]] mkuu, na kuambatana na mwamko kuhusu kifo. Kwa mdhanaishi, kuwepo kunatangulia kiini; (kiini) cha maisha ya mtu huja ''tu'' baada ya mtu kuwa.
Anonymous user