Tofauti kati ya marekesbisho "Maana ya maisha"

[[File:HumanismSymbol.PNG|120px|left|thumb| Picha ya "binadamu mwenye furaha" ishara ya Utu wa Kidunia.]]
 
Kulingana na Ubinadamu wa kidunia, wanadamu walitokana na kuzaana katika maendeleo ya mabadiliko ambayo hayakuongozwa kama sehemu muhimu ya maumbile, ambayo huishi yenyewe.<ref name=humanifesto1>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto I]]] [http://www.americanhumanist.org/about/manifesto1.html url=http://www.americanhumanist.org/about/manifesto1.html |work=American Humanist Association |year=1933 |accessdate=2007-07-26}}</ref><ref name=humanifesto2>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto II]]] [http://www.americanhumanist.org/about/manifesto2.html work=American Humanist Association |year=1973 |url=http://www.americanhumanist.org/about/manifesto2.html |accessdate=2007-08-01}}</ref> Maarifa hayatoki kutoka vyanzo vyenye nguvu visivyo vya kawaida, lakini kutoka uchunguzi wa binadamu, majaribio, na uchambuzi wa kimantiki([[mbinu ya kisayansi]]): asili ya [[ulimwengu]] ni kile ambacho watu huitambua kuwa.<ref name=humanifesto1 /> Aidha, "[[maadili]] na ukweli" yanadhamiriwa "kwa njia ya uchunguzi wa kiakili"<ref name=humanifesto1 /> na "yanatokana na mahitaji ya binadamu na hamu kama ilivyopimwa na uzoefu", yaani kupitia [[akili yenye uchambuzi]].<ref name=humanifesto3>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto III]]] [http://www.americanhumanist.org/3/HumandItsAspirations.php work=American Humanist Association |year=2003 |url=http://www.americanhumanist.org/3/HumandItsAspirations.php |accessdate=2007-08-01}}</ref><ref name=CDSH>{{cite web |title=[[A Secular Humanist Declaration]]] [http://www.secularhumanism.org/index.php?section=main&page=declaration work=Council for Democratic and Secular Humanism (now the Council for Secular Humanism) |year=1980 |url=http://www.secularhumanism.org/index.php?section=main&page=declaration |accessdate=2007-08-01}}</ref> "Kulingana na yale tunayojua, tabia za mtu kiujumla ni [chanzo] cha kiumbe cha kibiolojia kinachoendesha shughuli zake katika muktadha wa kijamii na kiutamaduni."<ref name=humanifesto2 />
 
 
Watu huamua kusudi la binadamu, bila ya ushawishi wa kiMungu; ni tabia ya binadamu, (hisia ya kijumla) ambayo ni lengo ya maisha ya binadamu; Utu unataka kuendeleza na kutimiza: <ref name=humanifesto1 /> "Utu husisitiza uwezo wetu, na uwajibikaji wetu, kuishi maisha ya kimaadili yenye utimilifu wa binafsi yanayolenga mema makuu ya ubinadamu ".<ref name=humanifesto3 /> Wanautu huendeleza [[kufunguliwa kifikra ili kuyashughulikia maslahi ya kibinafsi]] na yenye manufaa kwa watu wote. Furaha ya mtu binafsi ni inahusishwa kwa njia isiyoweza kubadilishwa na ustawi wa binadamu, kwa uzima, kwa sehemu, kwa sababu sisi ni wanyama wanaolazimika kuishi katika jamii, ambayo hupata maana kutokana na [[uhusiano wa karibu]], na kwa sababu maendeleo ya kitamaduni humnufaisha kila mtu katika [[utamaduni]].<ref name=humanifesto2 /><ref name=humanifesto3 />
 
Falsafa ndogo za utu wa baadaye na utu unaopita yote (ambazo wakati mwingine hutumiwa kimbadala) ni panuzi wa maadili ya kiutu. Mtu anapaswa kutafuta maendeleo ya ubinadamu na ya maisha yote] kwa kiasi kikubwa kiwezekanavyo ili kupatanisha Utu wa Kirainasansi na utamaduni wa karne ya ishirini wa [[kisayasansi na kiteknolojia]], hivyo, kila kiumbe hai ana haki ya kuamua "maana ya maisha kibinafsi" kwa mtazamo wa kijamii na kibinafsi.<ref>{{cite web| author=[[Nick Bostrom]] |title=Transhumanist Values |work=[[Oxford University]] |year=2005 |url=http://www.nickbostrom.com/ethics/values.html |accessdate=2007-07-28}}</ref>
Kutoka mtazamo wa kiutu na kielimunafsia ya kupunguza maumivu, suala la maana ya maisha pia linaweza kutafsiriwa tena kama "Ni nini maana ya maisha "yangu"?"<ref>Irvin Yalom, ''Existential Psychotherapy'', 1980</ref>
 
 
Badala ya kujifunga na swali la kidini au la kikozmiki kuhusu madhumuni makuu, mbinu hii inapendekeza kwamba swali hili ni la kibinafsi sana. Kuna majibu mengi ya kimatibabu ya kupunguza maumivu kwa swali hili, kwa mfano Viktor Frankl anadokeza kuwa dhana ya "Kutowaza", ambayo kwa kiasi kikubwa hutafsiriwa kama kukoma kutafakari bila mwisho juu ya ubinafsi, badala ya kujishughulisha na maisha. Kwa ujumla, mwitikio wa matibabu ya kuyapunguza maumivu ni kwamba swali la maana ya maisha huvukiza ikiwa mtu anajishughulisha kikamilifu na maisha. Swali kisha linabadilika kuwa wasiwasi maalum zaidi kama vile "Ni upotovu upi unaonisumbua?", "Ni nini kinachozuia uwezo wangu kufurahia vitu?", "Mbona mimi huwasahau wapendwa wangu?". Angalia pia Matibabu ya Kupunguza Maumivu ya Kidhanaishi, Irvin Yalom.
 
 
====Uchanya wa kimantiki====
Anonymous user