Utakaso wa kikabila : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Abkhazia genocidememorial2005.jpg|200px|thumb|Maathimisho ya 12 ya utakaso wa kikabila katika eneo la Abkhazia yaliyofanywa mjini Tbilisi mnamo mwaka wa 2005. Mmoja wa wageni katika makumbusho hayo aliweza kumtambua mwanawe aliyewawa katika pich moja]]
 
'''Utakaso wa kikabila''' ni maneno ambayo yamekuja kutumika kwa upana kuashiria aina zote za fujo zinazohusisha ukabila, kuanzia mauaji, ubakaji na mateso na hata kuhamisha wakazi kwa lazima. Kamati ya [[Umoja wa Mataifa]] ya mwaka 1993 ilifafanua utakaso wa kikabila kwa ufasaha kama, "kupangwa kimaksudi kuwatoa kutoka eneo fulani, watu wa kabila fulani, kwa kutumia nguvu au kwa kuwaogofya, ili kufanya eneo hilo liwe na kabila moja tu."
 
[[Image:Abkhazia genocidememorial2005.jpg|200px|thumb|Maathimisho ya 12 ya utakaso wa kikabila katika eneo la Abkhazia yaliyofanywa mjini Tbilisi mnamo mwaka wa 2005. Mmoja wa wageni katika makumbusho hayo aliweza kumtambua mwanawe aliyewawa katika pich moja]]
 
Neno utakaso wa kikabila ni tofauti na neno mauaji ya kimbari. Maneno haya hayalengi maana sawa, hata hivyo utafiti wa kisomi unaonyesha kuwa maneno haya yote yanaweza kutumiwa kuelezea aina nyingi za ushambulizi dhidi ya mataifa au makabila yenye msingi wa kidini. Kwa ufupi, utakaso wa kikabila ni sawa na kuhamisha watu kutoka nchi fulani kwa lazima huku mauaji ya kimbari yakiwa sawa na "mauaji ya kimakusudi ya kundi fulani la kikabila, kidini au kitaifa kwa sehemu au kwa ujumla."