Sheria ya kimataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '===Sheria ya Kimataifa=== {{main|Sheria ya umma ya kimataifa|Mgongano wa sheria|Sheria ya Umoja wa Ulaya}} [[File:Naciones Unidas 3.jpg|right|thumb|Ikitoa katiba ya sheria ya kim...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:34, 21 Januari 2010

Sheria ya Kimataifa

 
Ikitoa katiba ya sheria ya kimataifa ya umaa, mfumo wa Umoja wa Mataifa ulikubaliwa wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia


Sheria ya kimataifa inaweza kuashria mambo matatu: sheria ya umma ya kimataifa, sheria ya kibinafsi ya kimataifa au mgongano wa sheria na sheria ya mashirika makubwa ya kimataifa.

  • Mgongano wa sheria (au "sheria ya kibinafsi ya kimataifa" katika nchi za sheria ya kiraia) unahusisha maeneo ya kimamlaka ya kisheria ya mgogoro wa kisheria baina ya watu wa kibinafsi unafaa kusikizwa na sheria za maeneo gani ya kimamlaka ya kisheria ndiyo inayofaa kutumika.Leo, biashra zinazidi kuwa na uwezo wa kusongeza minyororo ya ugavi ya mtaji na ajira kuvuka mipaka, na pia kufanya biashara na kampuni za nchi za ng'ambo, hivyo kulifanya swali kuhusu nchi ipi ndiyo inayomamlaka ya kisheria kuwa muhimu zaidi. Idadi kubwa zaidi ya biashara zinachagua usuluhishi wa kibiashara chini ya Mkataba wa New York wa mnamo mwaka1958.[4]
  • Sheria ya Umoja wa Ulaya ndiyo ya kwanza, kufikia sasa, ambayo ni mfano wa mfano wa sheria kuu ya kimataifa. Kutokana na mwenendo wa kuongezeka kwa ushirikiano wa kiuchumi Duniani, mikataba mingi ya kikanda—hasa ya Umoja wa Nchi za Marekani ya Kusini—zimeanza kuufuata mfano kama huu. Katika Umoja wa Ulaya, nchi huru zimekusanya mamlaka yao katika mfumo wa mahakama na taasisi za kisiasa. Taasisi hizi zinapewa uwezo wa kutekeleza kanuni za kisheria dhidi ya au kwa nchi wanachama na raia katika namna ambayo haiwezekani kupitia sheria ya umma ya kimataifa.[5] Kama Mahakama ya Ulaya ya Haki yalivyosema katika miaka ya 1960, sheria ya Umoja wa Umoja wa Ulaya hujumiusha "muundo mpya wa sheria ya kimataifa" kwa ajili ya faida inayotegemeana ya kijamii na kiuchumi wa nchi zote wanachama.[6]
  1. History of the UN, United Nations. Winston Churchill (The Hinge of Fate, 719) comments on the League of Nations' failure: "It was wrong to say that the League failed. It was rather the member states who had failed the League."
  2. The prevailing manner of enforcing international law is still essentially "self help"; that is the reaction by states to alleged breaches of international obligations by other states (Robertson, Crimes against Humanity, 90; Schermers-Blokker, International Institutional Law, 900–901).
  3. Petersmann, The GATT/WTO Dispute Settlement System, 32
  4. Redfem, International Commercial Arbitration, 68–69
  5. Schermers–Blokker, International Institutional Law, 943
  6. See the C-26/62 Van Gend en Loos v Nederlanse Administratie Der Belastingen, and Flaminio Costa v E.N.E.L. decisions of the European Court.