Mahakama ya Kimataifa ya Haki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Infobox UN
[[Image:Public hearing at the ICJ.jpg|thumb|Kesi inasikizwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki.]]
| name = Mahakama ya Kimataifa ya Haki<br>Cour internationale de justice
| image = International Court of Justice.jpg
| caption = Kasri la Amani, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya Haki yanapatikana.
| type = Principal Organ
| acronyms = ICJ, CIJ
| languages = Kiingereza, Kifaransa
| head = ''Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki''<br />
[[Hisashi Owada]]
| Hadh = Yupo
| Ilianzishwa = 1945
| tovuti = [http://www.icj-cij.org/ www.icj-cij.org]
| parent =
| subsidiaries =
| commons = ICJ-CJI
| footnotes =
}}
 
 
'''Mahakama ya Kimataifa ya Haki''' ({{lang-fr|Cour internationale de justice}}; ambayo kawaida hujulikana kama '''Mahakama ya Dunia''' au '''ICJ''') ndiyo mahakama msingi ya [[Umoja wa Mataifa]]. Yana makao yake katika Kasri la Amani mjini Hague nchini [[Uholanzi]]. Majukumu yake makuu ni kusuluhisha migogo ya ki[[sheria]] inayowakilishwa mbele yake na mataifa na kutoa uamuzi kuhusu maswali ya kisheria yanayowakilishwa mbele yake na mataifa yanayotambulika ya kimataifa na mkutano wa kijumla wa Umoja wa Mataifa. Mahakama ya Kimataifa ya Haki ni taofauti na [[Mahakama ya Kimataifa ya Jinai]], ambayo pia yana mamlaka ya kisheria ya maeneo yote "Duniani".