Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya Rwanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{See|Mauaji ya kimbari ya Rwanda}} thumb|150px|Picha ya wahalifu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya Rwanda '''Mahakama ya...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:43, 21 Januari 2010

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya Rwanda (ICTR kwa Kingereza), au Tribunal pénal international pour le Rwanda (TPIR) kwa Kifaransa, ni mahakama ya kimataifa yaliyoanzishwa mnamo mwezi Novemba mwaka wa 1994 na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuwahukumu watu walisababisha Mauaji ya kimbari ya Rwanda na hatia zingine kuu za sheria ya kimataifa nchini Rwanda, au raia wa Kirwanda katika nchi jirani, kati ya tarehe mosi Januari na tarehe Desemba mwaka wa 1994

Faili:Rwanda genocide wanted poster 2-20-03.jpg
Picha ya wahalifu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya Rwanda

Mnamo mwaka wa 1995, mahakama hayo yalipata makao mjinui Arusha, Tanzania. Mahakama hayo yana mamlaka ya kisheria ya mauaji ya kimbari na hatia za kivita, ambazo zinafafanuliwa kama ukiukaji wa Ibara ya jumla ya tatu na Itifaki ya II ya Mkataba wa Geneva(unaohusu hatia za kivita zilizofanywa wakati wa migogoro ndfani ya nchi)


Kufikia wakati wa sasa, Mahakama hayo yamekamilisha kesi kumi na tisa na kuwahukumu washitakiwa ishirini na watano. Kesi za watu wengine ishirini na watano bado zinaendelea. Kumi na watisa wanasubiri kesi zao kizuizini. Kumi bado hawajakamatwa. Kesi ya kwanza, ya Jean-Paul Akayesu, ilianzishwa mnamo mwaka wa 1997. Jean Kambanda, Waziri Mkuu wa mpito, aliyakubali mashtaka.