Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
Chakula kinaposafiri katika njia yake hufanyiwa [[mabadiliko ya kiumbo]] na [[mabadiliko ya kikemikali]]. Kila sehemu ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula ina kazi maalum.
Chakula cha mnyama au binadamu huweza kuwa cha [[kabohaidreti]]/[[wanga]], [[protini]], [[fati]] au mchanganyiko wa vyakula hivyo. Myeyuko wa makundi hayo ya vyakula hutokea katika sehemu mbalimbali za [[njia ya chakula]] kwa njia za kemikali.
 
[[Picha:Human digestive system.jpg|thumb|400px|right|Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula wa Binadamu]]
 
==Mmeng’enyo Kinywani==