Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
Chakula cha mnyama au binadamu huweza kuwa cha [[kabohaidreti]]/[[wanga]], [[protini]], [[fati]] au mchanganyiko wa vyakula hivyo. Myeyuko wa makundi hayo ya vyakula hutokea katika sehemu mbalimbali za [[njia ya chakula]] kwa njia za kemikali.
 
[[Picha:Human digestive system.jpg|thumb|600px|right|Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula wa Binadamu]]<br />
Tasfiri: utumbo Mwembamba (''small intestine''), utumbo mpana (''large intestine''), ini (''liver''), kongosho (''pancrease''), ulimi (''tongue''), tumbo (''stomach''), tezi za mate (''salivary glands''), umio (''esophagus''), puru (''rectum''), mkundu (''anus'')
]]
 
==Mmeng’enyo Kinywani==