Content deleted Content added
→‎Hongera: mjadala mpya
→‎Muundo wa makala: mjadala mpya
Mstari 15:
 
Mifumo hiyo siyo lazima wewe uanze kufiria, la. Ukichukua makala kutoka Wikipedia ya Kiingereza, basi yenyewe mwishoni inakuwa na interwiki kwa chini. Siyo lazima uunge kwenda Wikipedia nyinginezo - hata ukiunga kwenda Kiingereza, basi maroboti yatakuja na kuunganisha makala hiyo kwenda Wikipedia nyingine. Kingine, si utaratibu wa kuacha kuandika kichwa cha makala. Mfano: makala ya Steve hukuandika chochote mwanzoni, badala yake umeaika katika sehemu ya HISTORIA. Hii si format ya Wikipedia! Kila la kheri na ahsante! Wako,--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 08:12, 19 Januari 2010 (UTC)
 
== Muundo wa makala ==
 
Ndugu, unaanza kuandika makala bila kuweka maelezo ya mwanzo kabisa ya makala - badala yake, unayaandika kwenye "WASIFU" au "HISTORIA". Ndugu, huu si utaratibu na mpangilio/muundo wa makala za kamusi elezo ya wikipedia. Kila makala inabidi iandikwe kama jinsi inavyotakiwa. Mfano:
 
'''LaShawn Merritt''' (amezaliwa [[27 Juni]], [[1986]]) ni mwanariadha kutoka nchini [[Marekani]], ambaye amebobea katika mbio za mita 400.
 
Halafu tena hizo JAMII. Sio lazima kuweka rundo la jamii kama jinsi unavyofanya, la. Unaweza kuweka jamii tu kama vile Jamii:Wanariadha wa Marekani, Waliozaliwa... Watu Walio Hai, basi. Wanariadha wa nchi fulani inatosha - kuliko kujaza mijamii kibaoooo ambao haina hata mwelekeo. Jitahidi ufuate hivi ndugu. Kila la kheri.--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 17:21, 21 Januari 2010 (UTC)