Victoria, British Kolumbia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Victoriaharbour2.jpg|thumb|450px|Victoria Inner Harbour pamoja na The Empress hotel kwa nyuma]]
'''Victoria''' ni mji mkuu wa Mkoamkoa wa [[British Kolumbia]], [[Kanada]]. Mji umepewa jina hili baada ya [[Malkia Victoria]].
 
Zaidi ya watu 300,000 wanaishi kwenye mji huu wa Victoria. Watu wengi wa huku hufanyakazi serikalini au kwenye sekta ya utalii. Mji una joto sana wakati huo kuliko miji mingine ya Kanada, Wakanada wengi huama pale wanapo stahafu kazi.