Wanyakyusa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: no:Nyakyusa; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 1:
'''Wanyakyusa''' (pia huitwa ''Wangonde'' au ''Wasochile'') ni kabilajina lakwa ajili ya watu wanaoishi kwenye [[Tanzaniawilaya ya Rungwe]] wanaoishi katika sehemu za Kusinikusini za [[Mkoa wa Mbeya]] ([[Tanzania]]) upande wa kaskazini ya [[Ziwa Nyasa]]. Lugha yao ni [[Kinyakyusa]]. Mara nyingi Wagonde upande wa kusini ya mto Songwe nchini Malawi huhesabiwa pamoja nao katika kundi lilelile.
 
Kihistoria watu wanaoitwa leo Wanyakyusa waliitwa [[Wakonde]] na Wanyakyusa walikuwa kabila kubwa kati yao. Wakati wa karne ya 20 "Wanyakyusa" imekuwa jina la kundi kwa jumla. Hadi leo kanisa la kilutheri la [[KKKT]] linatumia jina "dayosisi ya Konde" kwa eneo lake katika mkoa wa Mbeya.
Jina la kihistoria katika maandiko ya siku za ukoloni lilikuwa "Wakonde" kutokana na jina la kale "[[Konde]]".
 
Wakati Wajerumani walipofika sehemu za kaskazini ya Ziwa Nyasa mwisho wa [[karne ya 19]] hawakuona tofauti ya kimsingi kati ya watu wa Malawi kaskazini na wale wa sehemu za Rungwe wakawaita wote "Wakonde" kutokana na jina lililokuwa kawaida ziwani.
Leo hii ni watu zaidi ya milioni wanaojumlishwa kwa jina hili, takriban 700,000 wanaokaa upande wa Tanzania na 300,000 wakikaa Malawi.
 
==Viungo vya Nje==
*[http://www.nyakyusa.com/nyakyusa.htm The Nyakyusa Homepage]
* [http://www.ub.bildarchiv-dkg.uni-frankfurt.de/Bildprojekt/Lexikon/php/suche_db.php?suchname=Wakonde "Wakonde" katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani (1920)]]]
 
{{mbegu}}