Gauteng : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: {| border=1 align=right cellpadding=4 cellspacing=0 width=250 style="margin: 0 0 1em 1em; background: #f9f9f9; border: 1px #aaaaaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;" |+<big...
 
No edit summary
Mstari 25:
|}
 
'''Gauteng''' ni moja kati ya majimbo 9 ya [[Afrika Kusini]]. Mji mkuu ni [[Johannesburg]]. Jimbo lilianzishwa baada ya mwisho wa siasa ya [[Apartheid]] kutoka kwa sehemu ya jimbo la [[Transvaal]] ya awali. Mwanzoni lilitwa "Pretoria-Witwatersrand-Vereeniging" lakini jina likabadilishwa tena kuwa Gauteng. Neno Gauteng limetokana katika lugha ya [[Kisotho]] lamaanisha "mahali pa dhahabu" kwa kukumbuka umuhimu wa migodi ya [[dhahabu]] katika eneo la Johannesburg.
 
Hata kama eneo la jimbo ni 17,000 km² pekee idadi ya watu ni kubwa. Kieneo Gauteng ni jimbo dogo la nchi lakini ina nafasi ya pili kufuatana na idadi ya wakazi; imekadiriwa ya kwamba karibuni Gauteng itapita [[KwaZulu-Natal]] na kuwa jumbo lenye watu wengi katika Afrika Kusini.