Kenya People's Union : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Kenya People's Union''' ni Chama cha Kisiasa nchini Kenya kilichoongozwa na Oginga Odinga ambacho baadaye kilipigwa marufuku mnamo 1969. ==Historia== Mnamo Machi 1966...'
 
d roboti Ondoa: en:Kenya People’s Union; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Kenya People's Union''' ni Chama cha Kisiasa nchini [[Kenya]] kilichoongozwa na [[Oginga Odinga]] ambacho baadaye kilipigwa marufuku mnamo 1969.
 
== Historia ==
Mnamo Machi 1966, mlengo wa kushoto wa chama tawala cha KANU ukiacha chama hicho na kuanzisha KPU<ref>Bethwell A. Ogot, William Robert Ochieng': [http://books.google.com/books?id=AmFVjigwkxwC&pg=PA98&lpg=PA98&dq=%22Kenya+People%27s+Union%22&source=bl&ots=6RKZc1eFbD&sig=ZJ2D8K_DLQQoGX1YgivmiriRFGM&hl=en&ei=pKriSrfKGIHR-QbogLXeAQ&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=4&ved=0CBsQ6AEwAw#v=onepage&q=%22Kenya%20People%27s%20Union%22&f=false Decolonization and independence in Kenya]. 1995</ref>. KPU ilikuwa maarufu hasa kwa [[Waluo]] Mkoani [[Mkoa wa Nyanza|Nyanza]], kinyume na chama cha KANU ambacho wakati huo kilikuwa kikitawalwa na [[Wakikuyu]] <ref>Abner Cohen: [http://books.google.com/books?id=Mgh7311x8LIC&pg=PA139&dq=kenya+people%27s+union&as_brr=3#v=onepage&q=kenya%20people%27s%20union&f=false Urban Ethnicity]. Routledge, 2004. ISBN 04153298250-415-32982-5</ref>.
 
Mwisho wa Chama hiki uliwadia wakati wa Ufunguzi wa [[Hospitali ya New Nyanza]] mnamo Oktoba 25, 1969. Wakati huo rais [[Jomo Kenyatta]] hakupendezwa na ufunguzi wa hospitali hiyo kwa vile ilijengwa na fedha za [[Soviet]] na ilionekana kama mradi wa Odinga. Hata hivyo Kenyatta aliongoza sherehe za ufunguzi wake ili kuimarisha umaarufu wake Mkoani Nyanza. [[Wajaluo]] walijulikana kuwa wenye hasira mno kwa kawaida, hasa kwa serikali tangu mauaji ya [[Tom Mboya]] miezi michache iliyotangulia, huku vidole vingi vikimwelekea Kenyatta. Maandamano yalianzishwa wakati wa sherehe hizo za ufunguzi wakati wafuazi wa KPU waliushanbulia msafara wa rais. Zaidi ya watu kumi waliuawa wakati walinzi wa Kenyatta walifunguaufyatuaji wa risasi dhidi ya waandamanaji hao. Odinga na maafisa wengine wa chama cha KPU walititiwa nguvuni siku mbili baada ya tukio hilo. KPU kilifutiliwa mbali mnamo Oktoba 30, 1969, huku [[Kenya]] ikibakia na Chama Kimoja<ref name="incident">Daily Nation, October 23, 2009: [http://www.nation.co.ke/News/politics/-/1064/676220/-/view/printVersion/-/gkqtg1z/-/index.html The incident that transformed Kenya into a de facto one-party state]</ref>.
== Wanasiasa wa KPU ==
Wafuatao ni wanasiasa waliojiunga na KPU. ‘’Katika mabano ni jimbo la uchaguzi walilowakilisha’’ <ref name="cmd">Center for Multiparty Democracy: [http://www.cmd.or.ke/images/Politics%20and%20Paliamenterians%20in%20Kenya.pdf Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007]</ref>.<ref name="incident">x</ref>:
 
* [[Okudo Bala]] ([[Jimbo la Uchaguzi la Nyando|Nyando]])
* [[Ondiek Chilo]] ([[Jimbo la Uchaguzi la Nyakach|Nyakach]])
* [[Bildad Kaggia]] ([[Jimbo la Uchaguzi la Kandara|Kandara]])
* [[Luke Rarieya Obok]] ([[Jimbo la Uchaguzi la Alego|Alego]])
* [[John Odero-Sar]] ([[Jimbo la Uchaguzi la Ugenya|Ugenya]])
* [[Oginga Odinga]] ([[Jimbo la Uchaguzi la Bondo|Bondo]])
* [[Tom Obok Odongo]] ([[Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Rural|Kisumu Rural]])
* [[George Fredrick Oduya]] ([[Jimbo la Uchaguzi la Elgon West|Elgon West]])
* [[Achieng Oneko]] ([[Jimbo la Uchaguzi la Nakuru Town|Nakuru Town]])
* [[Joseph Mwasia Nthula]] ([[Jimbo la Uchaguzi la Iveti South|Iveti South]])
* [[Wasonga Sijeyo]] ([[Jimbo la Uchaguzi la Gem|Gem]])
 
== Virejeleo ==
{{Reflist}}
 
[[CategoryJamii:Vyama vya Kisiasa Nchini Kenya]]
[[Jamii:Siasa ya Kenya]]
[[en:Kenya People’s Union]]