Bamba la Karibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: da:Den Caribiske Plade
d roboti Badiliko: da:Caribiske Plade; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Bamba la Karibi.png|thumb|250px|Bamba la Karibi]]
[[ImagePicha:Volkeno za Karibi.PNG|thumb|250px|Volkeno za Karibi]]
'''Bamba la Karibi''' ni [[bamba la gandunia]] lililopo chini ya [[Amerika ya Kati]] na [[Bahari ya Karibi]]. Limepakana na mabamba ya [[Amerika ya Kaskazini]], [[Amerika ya Kusini]] na [[bamba la Nazi|Nazi]] (Cocos Plate). Eneo lake ni takriban milioni 3.2 [[km²]].
 
Mipaka yake na mabamba mengine ni mahali pa matetemeko ya ardhi na milipuko ya volkeno. Baharini mpaka huu unaonekana kwa pinde la [[visiwa vya Karibi]].
 
== Nadharia ya asili yake ==
Nadharia ya asili yake inasema ya kuwa bamba hili lilikuwa sehemu ya juu ya bamba la Pasifiki. Wakati [[bamba la Atlantiki]] ilisukuma mabamba ya Amerika ya Kaskazini na Kusini kuelekea magharibi bamba hili la Karibi ilijisukuma juu ya bamba la Atlantiki. Kutokea kwa mlango wa nchi ya Amerika ya Kati kulitenganisha bamba hili na [[Pasifiki]].
 
== Viungo vya nje ==
* [http://oceanexplorer.noaa.gov/explorations/03trench/welcome.html NOAA Ocean Explorer]
* [http://www.geo.tu-freiberg.de/~merkel/vorlesung/OS2001/bachmann_raik.pdf Caribbean Plate formation PDF file]
 
[[Category:Jiografia]]
[[Category:Gandunia]]
[[Category:Amerika ya Kati]]
[[Category:Karibi]]
{{jaribio}}
 
[[CategoryJamii:Jiografia]]
[[CategoryJamii:Gandunia]]
[[CategoryJamii:Amerika ya Kati]]
[[CategoryJamii:Karibi]]
 
[[ca:Placa del Carib]]
[[da:Den Caribiske Plade]]
[[de:Karibische Platte]]
[[en:Caribbean Plate]]