Ghuba ya Bengali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: mk:Бенгалски Залив; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Bay of Bengal map.png|thumb|250px|Ghuba ya Bengali kati ya Bara Hindi na Rasi ya Malay]]
[[ImagePicha:Fishing boat on Bay of Bengal.JPG|thumb|250px|Mashua ya wavuwi kwenye Ghuba ya Bengali]]
'''Ghuba ya Bengali''' ni hori kubwa ya [[Bahari Hindi]] kati ya [[Bara Hindi]], [[Rasi ya Malay]] na [[Sri Lanka]] yenye umbo la pembetatu. Jina la Bengal limetokana na jimbo la [[Bengali ya Magharibi]] katika [[Uhindi]] na nchi ya [[Bangladesh]]. [[Bahari ya Andamani]] inahesabiwa wakati mwingine kuwa sehemu ya ghuba ya Bengal lakini mara nyingi hutazamiwa kama gimba la maji la pekee.
 
== Nchi jirani ==
Nchi zinazopakana na ghuba ni [[Sri Lanka]], [[Uhindi]], [[Bangladesh]] na [[Myanmar]]. Kama Bahari ya Andamani inahesabiwa kuwa sehemu ya ghuba hata nchi za [[Uthai]] na [[Indonesia]] zinapaswa kutajwa hapa.
 
== Mito inayoishia humo ==
Mito mikubwa ya Bara Hindi inayoishia katika Ghuba ya Bengali ni: [[mto Ganga]], [[mto Meghna]], [[mto Brahmaputra]], [[mto Godavari]], [[mto Krishna]] na [[mto Kaveri]].
 
Mto Ayeyarwady wa [[Myanmar]] unaishia pia katika ghuba hii.
 
== Mabandari ==
Mabandari muhimu kwenye ghuba ni:
* katika Bangladesh: [[Chittagong]] na [[Mongla]]
* katika Uhindi: [[Chennai]] (zamani [[Madras]]), [[Vishakhapatnam]], [[Kolkata]] (zamani [[Calcutta]]) na [[Pondicherry]]
 
[[CategoryJamii:Bahari ya Hindi]]
 
 
[[Category:Bahari ya Hindi]]
 
[[ar:خليج البنغال]]
Line 54 ⟶ 52:
[[lt:Bengalijos įlanka]]
[[lv:Bengālijas līcis]]
[[mk:Бенгалски заливЗалив]]
[[ml:ബംഗാള്‍ ഉള്‍ക്കടല്‍]]
[[mn:Бенгалын булан]]