Philipp Lenard : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d {{defaultsort}}
Mstari 3:
'''Philipp Lenard''' ([[7 Juni]], [[1862]] – [[20 Mei]], [[1947]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Alitayarisha misingi ya nadharia za [[elektroni]]. Pia aliipinga nadharia ya [[Albert Einstein]] (''Relativity Theory''). Mwaka wa [[1905]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
{{DEFAULTSORT:Lenard, Philipp}}
[[Category:Wanasayansi|L]]
[[Category:TuzoWanasayansi yawa Nobel ya Fizikia|LUjerumani]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]
 
{{mbegu}}