Eneo bunge la Msambweni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Jimbo la Uchaguzi la Msambweni''' ni moja kati ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. JImbo hili linapatikana katika Wilaya ya Kwale katika...'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{Politics of Kenya}}
'''Jimbo la Uchaguzi la Msambweni''' ni moja kati ya [[Maeneo bunge ya Kenya|Majimbo 210 ya Uchaguzi]] nchini [[Kenya]]. JImbo hili linapatikana katika [[Wilaya ya Kwale]] katika [[Mkoa wa Pwani]] wa [[Kenya]], miongoni mwa majimbo matatu katika [[Wilaya za Kenya|Wilaya]] hiyo. Jimbo la Msambweni lina wodi kumi, zote zikichagua madiwani kwa baraza la [[Kwale]] County.