Biblia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Gutenberg Bible.jpg|thumb|right|300px|Biblia mojawapo iliyochapwa na Gutenberg.]]
'''Biblia''' ni jina la jumla kwa ajili ya vitabu vitakatifu vya [[dini]] ya [[Uyahudi]] na hasa ya [[Ukristo]]. Neno limetokana na [[lugha]] ya [[Kigiriki]] ambayo ndani yake '''βιβλία''' (''biblia'') ina maana ya "vitabu" ikiwa ni uwingi wa '''βιβλος''' (''biblos''). Hii ni kwa sababu Biblia ni mkusanyo wa maandiko mbalimbali yaliyoweza kutungwa kwa muda wa miaka 1000 hivi.
 
Tunaweza kutofautisha:
*[[Biblia ya Kiebrania]] au [[Tanakh]] inavyotumiwa na Wayahudi. Vitabu hivyo 39 kwa [[Kanisa Katoliki]] na wengineo ni sehemu kuu ya vile 46 vinavyoitwa "[[Agano la Kale]]" (wakati Wakristo wengine, hasa [[Waprotestanti]], wanakubali hivyo 39 tu). Ndilo sehemu ya kwanza ya
*[[Biblia ya Kikristo]] inavyotumiwa na Wakristo yenye vitabu vya [[Agano la Kale]] pamoja na [[Agano Jipya]].
 
Mstari 14:
 
[[Category:Misahafu]]
[[Category:DiniUyahudi]]
[[Category:Ukristo]]
[[Category:Biblia|*]]