Antibiotiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 11:
 
===Penicillin===
[[Picha:Penicillin_core.svg|thumb|350px300px|right|Penicillin ni antibaotiki ya kwanza ya asili kugunduliwa na Alexander Fleming mnamo mwaka 1928]]
 
[[Penicillin]]s ni madawa yanayozuia ukuaji wa vijidudu (kiingereza bactericidal), ambayo hasa huzuia utengenezaji wa ukuta wa seli. Kuna aina nne za penicillins: ''[[penicillin-G]]'' za spektra nyembamba, ''[[ampicillin]]'' na aina zake, ''[[penicillinase-resistant]]'', penicillins kinzani kwa ''penicillianase'' (vimeng’enyo vinavyotolewa na bakteria fulani ili kuondo uwezo wa penicillin kutibu, na kupelekea kuwa sugu kwa antibaotiki hiyo), na penicillin za spektra iliyopanuka ambazo ni mahususi kupambana na ''pseudomonas''. Penicillin-G zinatumika kutibu magonjwa kama vile [[kaswende]], [[kisonono]], [[homa ya uti wa mgongo]], [[kimeta]] na [[buba]]. Nyingine inayohusiana naye, [[Penicillin V]] inaweza kufanya kazi sawa lakini siyo madhubuti. ''[[Ampicillin]]'' na ''[[amoxicillin]]'' zina uwezo kama ule wa penicillin-G, lakini zina spectra pana zaidi inayohusisha bakteria wa gram hasi (gram-negative bacteria).