Tofauti kati ya marekesbisho "Bessie Head"

No change in size ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Bessie Headhead.pngjpg|thumb|right|250px]]
 
'''Bessie Emery Head''' (Julai 6, 1937 - Aprili 17, 1986) hutazamwa kama mwandishi muhimu zaidi wan chi ya [[Botswana]]. Alizaliwa katika eneo la [[Pietermaritzburg]], [[Afrika Kusini]], mwana wa mwanamke tajiri mweupe wa Afrika Kusini na mtumishi mweusi wakati ambapo uhusiano kati ya watu wa rangi tofauti ulikuwa kinyume cha sheria. Mamake alikuwa na ugonjwa wa kiakili; matukio yenyewe si hakika lakini kutokana na taarifa chache za Bessie Head, ambazo hudokezwa kana kwamba zimetoka katika kitabu alichoandika kuhusu maisha yake, mara nyingi huwa zimetungwa.
184

edits