Antibiotiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 45:
==Utengenezaji==
 
Utengenezaji wa antibaotiki huchukua muda mrefu na ni wa gharama sana. Kwanza, kiumbe kinachotengeneza antibaotiki inabidi kifahamike na antibaotiki hujarihujaribiwa wa dhidi ya spishi mbalimbali za bakteria. Kisha kiumbe lazima kikuzwe ili kiweze kutoa antibaotiki kwa kiwango cha kutosha ili uchunguzi zaidi wa kikemikali uweze kufanyika kwa antibaotiki na kujaribu kuonyesha utofauti wake na zingine. Utaratibu huu ni tata kwa sababu kuna maelfu ya kampoundi ambazo hufanya kazi kama antibaotiki ambazo tayari zimeshagunduliwa, na bado zimekuwa zikirudiwa kugunduliwa tena. Baada ya antibaotiki kugunduliwa kufaa kwa ajili ya matumizi ya kutibu maambukizi katika wanyama, utengenezaji wa kiwango kikubwa huanza kufanyika.
 
Utengenezaji wa antibaotiki kwa ajili ya biashara huhitaji njia bora zaidi ili kupunguza gharama. Uchunguzi mkubwa huwa unahitajika ili kuongeza matokea kwa kuchagua aina fulani ya viumbe au kwa kubadili namna ya kuwakuza viumbe hao. Antibaotiki ilipatikana kwa njia za asili za uvundikaji inaweza kubadilishwa kikemikali ili kutengeneza antibaotiki zingine. Baada ya usafishaji, athari za antibaotiki kwenye ufanyaji kazi wa kawaida wa tishu na ogani za kiumbe kitakachoitumia (''pharmacology'') hujaribiwa kwenye idadi kubwa ya spishi za viumbe. Pia uwezekano wa kugeuka sumu (''toxicology'') katika viumbe hivi hujaribiwa. Zaidi namna ya utumiaji ambao utaleta matokeo mazuri lazima itafutwe. Zinaweza kutumiwa kwa mdomo. Hii inaweza kuwa kwa kuyeyusha au kumeza ambapo huja kusharabiwa kwenda kwenye [[mkondo wa damu]] kupitia [[utumbo]]. Pia zinaweza kutumia kwa njia nyingine zaidi ya mdomo kama kwa kuchoma dawa kwenye misuli au mishipa ya damu pale ambapo usharabiwaji wa haraka unahitajika.
Katika nchi ya Marekani, mara tu hatua hizi zinapokamilika, mtengenezaji hutuma maombi kwenye utawala kupitia mamlaka ya chakula na madawa (Food and Drug Administration, FDA). Yakipitishwa, antibaotiki huweza kujaribiwa kwa sumu, ustahimilivu, usharabiwaji na utokaji mwilini. Kama majaribia kwenye idadi ndogo ya watu yatafanikiwa, dawa huwekwa kwa matumizi ya kundi kubwa la watu, mara nyingi huwa kama mamia. Hatimaye dawa hutumika kwa matumizi katika kliniki. Taratibu zote hizi, kuanzia pale antibaotiki inapogunduliwa kwenye maabara mpaka inapoanza kutumika kwa majaribia kliniki mara nyingi huchukua muda mrefu-zaidi ya miaka kadhaa.
 
Katika nchi ya [[Marekani]], mara tu hatua hizi zinapokamilika, mtengenezaji hutuma maombi kwenye utawala kupitia mamlaka ya chakula na madawa (Food and Drug Administration, FDA). Yakipitishwa, antibaotiki huweza kujaribiwa kwa sumu, ustahimilivu, usharabiwaji na utokaji mwilini. Kama majaribiamajaribio haya kwenye idadi ndogo ya watu yatafanikiwa, dawa huwekwa kwa matumizi ya kundi kubwa la watu, mara nyingi huwa kama mamia ya watu. Hatimaye dawa hutumika kwa matumizi ya kawaida katika kliniki. Taratibu zote hizi, kuanzia pale antibaotiki inapogunduliwa kwenye maabara mpaka inapoanza kutumika kwa majaribia kliniki mara nyingi huchukua muda mrefu-zaidi ya miaka kadhaa.
 
Taratibu zote hizi, kuanzia pale antibaotiki inapogunduliwa kwenye maabara mpaka inapoanza kutumika kwa majaribio kliniki mara nyingi huchukua muda mrefu-zaidi ya miaka kadhaa.
 
==Tahadhari na Vikomo==
 
Matumizi ya antibaotiki yana vikomo kwa sababu [[bakteria]] wamekuwa wakibadili namna ya kujilinda dhidi ya antibaotiki fulani. Miongoni mwa njia kuu wanayotumia ni kuizimishakuzimisha ufanyaji kazi antibaotiki. Hii ni njia ambao inatumiwa dhidi ya ''[[penicillin]]'' na ''[[chloramphenicol]]'' na nyinginezo. Aina nyingine ya kujilinda ni kubadilika (''mutation'') kwa vimeng’enyo vya bakteria vinavyoathiriwa na dawa kwa namna ambayo antibaotiki haziwezi kuzuia tena ukuaji (antibaotiki nyingi zina tabia chaguzi juu ya kipi cha kudhuru). Hii ndiyo namna pekee yaambayo [[bakteria]] hutumia kujingika dhidi ya madawa yanoyozuia utengenezaji wa [[protini]] za bakteria kama vile ''[[tetracyclines]]''.
 
Katika miaka ya [[1970]], [[kifua kikuu]] kilioneka kukaribia kupotea katika [[nchi zilizoendelea]], ingawa kilikuwa kinaendelea katika nchin[[nchi zinazoendelea]]. Sasa kimekuwa kikiendelea kuwepo,; kwa kiasi fulani ni kutoka na ukinzani wa ''tubercle bacillus'' (aina ya bakteria wanaosababisha kifua kikuu) dhidi ya antibaotiki. Bakteria fulani, hasa aina za ''staphylococci'' wamejenga upinzani/utukutu juu ya aina mbalimbali za antibaotiki kiasi kwamba maambukizi wanayosababisha yamekuwa hayatibiki.
Vivyo hivyo, plasmodia, kijidudu kinachosababisha malaria, kimejenga ukinzani dhidi ya antibaotiki mbalimbali, wakati huo huo, mbu ambao wanabeba plasmodia katika miili yao, wamekuwa pinzani dhidi ya dawa za kuua wadudu ambazo zilikuwa zinatumika kuwaua. Matokeo yake ingawa malaria ilionyesha dalili ya kupotea, sasa imeenea sana Afrika, mashariki ya kati, Asia kusini na sehemu za Amerika ya kilatini. Zaidi ya yote ugunduzi wa antibaotiki mpya sasa umekuwa siyo aghalabu kama ilivyokuwa zamani.
 
Vivyo hivyo, ''[[plasmodia]]'', kijidudu kinachosababisha [[malaria]], kimejenga ukinzani dhidi ya antibaotiki mbalimbali, wakati huo huo, [[mbu]] ambao wanabeba ''[[plasmodia]]'' katika miili yao, wamekuwa pinzani dhidi ya dawa za kuua wadudu ambazo zilikuwa zinatumika kuwaua. Matokeo yake ingawa malaria ilionyeshailiwahi kuonyesha dalili ya kupotea, sasa imeenea sana [[Afrika]], mashariki[[Mashariki ya katiKati]], [[Asia kusiniKusini]] na sehemu za [[Amerika ya kilatiniKilatini]]. Zaidi ya yote ugunduzi wa antibaotiki mpya sasa umekuwa siyo aghalabu kama ilivyokuwa zamani.
 
==Angalia Pia==
 
* [[Kifua Kikuu]]
* [[Malaria]]
 
==Viungo vya Nje==
Line 64 ⟶ 71:
* [http://health.howstuffworks.com/health-illness/treatment/medicine/medications/question88.htm HowStaffWorks - Namna Antibaotiki zinavyofanya kazi]
* [http://en.wikipedia.org/wiki/Antibiotic Antibaotiki katika wikipedia ya Kiingereza]
* [http://www.biotech.ntnu.no/molgen/research/antibiotics.html Utengenezaji wa Antibaotiki]
 
==Marejeo==
Line 69 ⟶ 77:
# [http://users.rcn.com/jkimball.ma.ultranet/BiologyPages/A/Antibiotics.html Antibaotiki]
# [http://www.medicalnewstoday.com/articles/10278.php Namna antibaotiki zinavyofanya kazi]
# Levy, Stuart B. (2002). The Antibiotic Paradox: How the Misuse of Antibiotics Endangers Their Curative Power. Da Capo Press, Cambridge, MA
# [http://whqlibdoc.who.int/HQ/2001/WHO_CDS_CSR_DRS_2001.10.pdf Mapendekezo ya Wataalamu wa Antibaotiki]
 
 
[[Jamii:Sayansi]]