Antibiotiki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 15:
===Penicillin===
[[Picha:Penicillin_core.svg|thumb|
[[Penicillin]]s ni madawa yanayozuia ukuaji wa vijidudu (kiingereza bactericidal), ambayo hasa huzuia utengenezaji wa ukuta wa seli. Kuna aina nne za penicillins: ''[[penicillin-G]]'' za spektra nyembamba, ''[[ampicillin]]'' na aina zake, ''[[penicillinase-resistant]]'', penicillins kinzani kwa ''penicillianase'' (vimeng’enyo vinavyotolewa na bakteria fulani ili kuondo uwezo wa penicillin kutibu, na kupelekea kuwa sugu kwa antibaotiki hiyo), na penicillin za spektra iliyopanuka ambazo ni mahususi kupambana na ''pseudomonas''.
|