Kipimajoto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
 
==Historia==
 
[[Picha:Galileo Thermometer closeup.jpg|thumb|300px|left|Kipimajoto cha Galileo]]
 
Ugunduzi wa kipimajoto umechangiwa na [[Galileo]], ingawa aina ya kipimajoto kilichozibwa hakikuwepo mpaka mwaka [[1650]]. Vipimajoto vya kisasa vinavyotumia [[spiriti]] na [[zebaki]] viliundwa na mjerumani [[Gabriel Fahrenheit]] ambaye pia alipendekeza kipimio cha jotoridi, kilichoitwa kwa jina lake - [[Fahrenheit]], ambapo 32<sup>o</sup> F ni jotoridi la kuganda kwa [[maji]] na 212<sup>o</sup> F ni jotoridi la kuchemka kwa maji katika [[mkandamizo wa hewa]] wa kawaida. Vipimio vingi vilipendekezwa tangu muda wake. Katika kipimio cha [[centigrade]] au celsius, kilichobuniwa na mnajimu wa kiswideni [[Anders Celsius]], ndicho kinachotumika sana dunia. Katika kipimio hiki maji huganda katika 0<sup>o</sup> C na huchemka katika 100<sup>o</sup> C.