Waberberi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: es:Pueblo bereber
d roboti Badiliko: es:Bereberes; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Berbers.png|thumb|right|Maeneo penye wasemaji wa lugha za Kiberberi (Tamazight)]]
'''Waberberi''' ni wakazi asilia wa Afrika ya Kaskazini kuanzia [[Libya]] hadi [[Moroko]] na nchi za [[Sahara]]. Wenyewe wanajiita Amazigh (au: Imazighen) yaani "watu huru". Kabila lao linalojulikana hasa ni [[Watuareg]] wanaokalia maeneo ya jangwa kubwa la [[Sahara]].
 
Leo hii wamepungua kwa sababu wengi wameanza kutumia lugha ya Kiarabu wakihesabiwa kati ya Waarabu.
 
Wanaoendelea kutumia lugha ya [[Tamazight]] (au: Kiberber) kama lugha ya kwanza ni
* takriban theluthi ya watu huko [[Moroko]],
* asilimia 10-15 nchini [[Algeria]],
* labda 3 % nchini [[Libya]],
* idadi ndogo zaidi wako [[Tunisia]],
* lakhi kadhaa huishi katikam nchi za Sahara kama [[Mali]] na [[Niger]] halafu
* wako kwa idadi ndogo [[Burkina Faso]], [[Misri]] na [[Mauritania]].
* Kutokana na uhamiaji kuna nusi milioni nchini [[Ufaransa]].
 
Katika nchi kavu jangwani au karibu na jangwa maisha yao ni ya ufugaji na kuhamahama. Mlimani walilima. Leo hii ni hasa [[Watuareg]] wanaoendelea na maisha ya kuhamahama.
Mstari 17:
Katika historia wamejulikana tangu mwanzo wa historia kuandikwa. Waroma na Wagiriki wa Kale waliwaita kwa majina kama Wanumidia, Wagaramanti au Walibya.
 
Kabla ya unenezaji wa Uislamu wengi walikuwa Wakristo na mashuhuri kati hao alikuwa [[Agostino wa Hippo]]. Mberberi anayejulikana leo hii ni mchezaji wa mpira [[Zinédine Zidane]].
 
== Viungo vya Nje ==
 
* [http://www.historycooperative.org/journals/jwh/14.4/smith.html Richard L. Smith, Ferrum College, What Happened to the Ancient Libyans? Chasing Sources across the Sahara from Herodotus to Ibn Khaldun, Journal of World History, vol. 14, no. 4, 2003 Online article]
* [http://amazigh.startkabel.nl Amazigh Startkabel].
* [http://www.ircam.ma/ Institut Royal de la Culture Amazighe].
* [http://www2.nau.edu/~jar/RIL_10.html The New Mass Media and the Shaping of Amazigh Identity].
* [http://www.wam.umd.edu/~tlaloc/archastro/ae26.html Number Systems and Calendars of the Berber Populations of Grand Canary and Tenerife].
* [http://lexicorient.com/e.o/berbers.htm Encyclopedia of the Orient -- Berbers ].
* [http://fotw.vexillum.com/flags/berber.html Flags of the World -- Berbers/Imazighen].
* [http://www.mondeberbere.com/ www.mondeberbère.com].
* [http://www.congres-mondial-amazigh.org/-/index.php CMA: Congrès Mondial Amazigh].
* [http://www.acrossthedivide.com/wilkpedia/sahara.htm Photo Gallery of Berbers and Touregs from Erg Chebbi area of Moroccan Sahara]
 
[[CategoryJamii:Watu wa Afrika]]
[[CategoryJamii:Afrika ya Kaskazini]]
 
{{Link FA|bg}}
Mstari 49:
[[en:Berber people]]
[[eo:Berberoj]]
[[es:Pueblo bereberBereberes]]
[[eu:Berbere]]
[[fa:قوم بربر]]