Port Said : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
infobox
Mstari 1:
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Jiji la Port Said
|picha_ya_satelite = Port Said - The 2nd quay crane galleryfull.jpg
|maelezo_ya_picha = Bandari ya Port Said katika [[Mfereji wa Suez]]
|pushpin_map = Misri
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Port Said katika Misri
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Misri]]
|subdivision_type1 = [[Mikoa ya Misri|Mkoa]]
|subdivision_name1 = [[Mkoa wa Port Said|Port Said]]
|subdivision_type2 =
|subdivision_name2 =
|wakazi_kwa_ujumla =
|latd=31 |latm=15 |lats= |latNS=N
|longd=32 |longm=17 |longs= |longEW=E
|website = [http://www.portsaid.gov.eg/ www.portsaid.gov.eg/]
}}
 
[[Image:Egypt-region-map-cities.gif|thumb|350px|right|[[Misri]]: Sehemu ya '''PortSaid''' (juu).]]
'''Port Said''' ([[Kiarabu]] '''بورسعيد''', inatafsirika kama '''Būr Saʻīd''') ni mji kutoka nchi ya [[Misri]] karibu kidogo na [[Mfereji wa Suez]], ambao unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 500,000 waishio katika mji huo.
 
Mji wa Port Said, unasemekana kuwa una samaki wengi na viwanda. Viwanda vinavyopatikana huko ni pamoja na vya, [[Kampaundi|kemiko]], uzashaji wa vyakula, na sigara. Port Said pia ni bandari muhimu kwa kusafirishia bidhaa za [[Misri|Kimisri]] kama vile [[pamba]] na [[mchele]]. Pia kuna kituo cha kujazia mafuta kwa meri ambazo zinapita kuelekea Suez.
==Viungo vya nje==
* {{ar}} {{en}} {{fr}} [http://www.portsaid.gov.eg/mainpage.aspx Tovuti rasmi]
* [http://www.fzportsaid.com/ PortSaid Free-zone Forums]
* [http://www.4portsaid.com/ PortSaid-Online,Port Said's Largest Community - All about Port Said]
* [http://maps.google.com/maps?ll=31.246834,32.302895&spn=0.166014,0.234180&t=k&hl=en Satellite picture by Google Maps]
 
{{commonscat|Port Said}}
 
 
{{commonscat|Port Said}}
{{mbegu-jio-Afrika}}