Kipimajoto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 23:
 
==Vipimajoto vya matumizi maalum==
[[Picha:Clinical thermometer 38.7.JPG|thumb|left|300px200px|Kipimajoto cha hospitali]]
 
Vipimajoto vinaweza kutengenezwa ili viweze kurekodi viwango vya juu na vya chini vya joto kufikiwa. [[Kipimajoto cha hospitali]] cha zebaki (''mercury-in-glass clinical thermometer''), kwa mfano ni kifaa cha kupima kiwango cha juu cha jotoridi ambako kuna kibano katika gilasi ya kapilari kati ya tunguu na sehemu ya chini ya kapilari ambacho huruhusu zebaki kutanuka kadiri jotoridi linavyoongezeka, lakini kuizuia isishuke mpaka itakapolazimishwa kushuka kwa kutikiswa kwa nguvu. Viwango vya juu vya jotoridi wakati wa ufanyaji kazi wa vifaa mbalimbali huweza pia kukadiriwa kwa kutumia pigmenti fulani zinabadilika rangi zinapofikia jotoridi fulani.