Kipimajoto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
 
''Thermistor'' mbalimbali zilitengenezwa kwa oksaidi za [[nickel]], [[manganese]], au [[cobalt]] zinatumika kupima jotoridi kati ya 46<sup>o</sup> na 150<sup>o</sup>C (kati ya-50<sup>o</sup> na 300<sup>o</sup>F). vilevile, thermistor zinatumia [[metali]] au mchanganyiko wa [[metali]] (''alloy'') hutumika katika kupima jotoridi la juu. Kwa mfano [[platinum]] hutumika kupima mpaka 930<sup>o</sup> C (1700<sup>o</sup> F). Kwa kutumia sakiti iliyobuniwa vizuri, [[mkondo wa umeme]] unaosomwa na galvanomita unaweza moja kwa moja kutumika kuonyesha namba katika kiambaza cha kipimajoto, hivyo kurahisisha usomaji wa jotoridi.
 
[[Picha:Gluehfadenpyrometer.jpg|thumb|right|''Optical pyrometer]]
 
Vipimo vya jotoridi vya uangalifu mkubwa vinaweza kufanya kwa kutumia ''[[thermocouple]]''. Katika kipimajoto hiki tofauti ndogo sana ya [[volteji]] (ambayo hupimwa katika ''milivolti'') hutokea wakati nyaya mbili za metali tofauti zilizoungwa kutungeneza kishwara (''loop'') wakati maungio mawili yakiwa katika joto tofauti. Ili kuongeza volteji, ''thermocouple'' kadhaa zinaweza kufungwa kwa kufuatana na kutengeneza ''[[thermopile]]''. Kwa kuwa volteji hutegemea tofauti ya [[joto]] katika maungio, ungio hutunzwa katika [[jotoridi]] linalofahamika na ungio lingine hutumika kupima jotoridi la kitu.