Mdumu mwitu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{refimprove|date=June 2009}} thumb|right|300px|Picha ya Mdumu mwitu anayeitwa ''Nepenthes distillatoria'' '''Mdumu mwitu''' ni mmea unaokula...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:12, 29 Januari 2010

Mdumu mwitu ni mmea unaokula nyama kwa kutumia mtego uliochimbuka wenye maji ndani. Imedhaniwa kuwa mitego hii yenye maji ndani iliibuka kutoka matawi yaliyojinkunja, huku mabadiliko ya viumbe yakipendelea matawi yenye michimbuko mikubwa zaidi katika kipindi cha miaka mingi.

Faili:Pitcher plant diagram.png
Picha ya Mdumu mwitu anayeitwa Nepenthes distillatoria

Hata hivyo, baadhi ya midumu mwitu wa jenasi kama ile ya Nepenthes) wanajumuishwa katika kikundi tofauti cha mimea wenye matawi kama karatasi yenye gundi. Hili linaonyesha kuwa mtazamo kuwa wa midumu mwitu kuibuka kutoka matawi yaliyojikunja huenda hukawa si wa kweli.

Bila kujali jinsi mmea huu ulivyobadilika, wadudu wanaotambaa na wanaoruka ikiwemo nzi huvutiwa kwa mchimbuko huo ulioundwa na tawi, mara nyingi kwa rangi na maji yenye suakri. Pande za tawi huenda zikawa zinatelezwa na kuumbwa kwa njia inayowafanya wadudud washindwe kutoka pindi wanapoingia ndani.


Marejeo


Marejeleo zaidi

  • Schnell, Donald (2003). Carnivorous Plants of the United States and Canada. Second Edition. Timber Press, Oregon, U.S.A.