Buganivilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
 
{{Uainishaji
| rangi = nyekundu
Line 15 ⟶ 14:
| bingwa_wa_jenasi =
}}
 
 
 
 
 
'''''Buganivilia''''' ni jenasi la mimea waotao maua yenye asili yake katika Bara la Marekani Kusini kuanzia [[Brazili]] na kusonga magharibi kuelekea [[Peru]] na kusini hadi [[Argentina]] kusini ([[Mkoa wa Chubut).
 
 
 
 
Waandishi tofauti wanakubali kuwa kuna kati ya spishi 4 na 18 za jenasi hii. Mmmea huu uligunduliwa nchini [[Brazili]] mnamo mwaka wa 1768, na Philibert Commerçon, Msomi wa mimea kutoka nchi ya Ufaransa alipokuwa akimwandama mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Kifaransa na mpelelezi Louis Antoine de Bougainville wakati wa safari yake ya kuizunguka Dunia.
 
 
 
 
 
 
 
 
==Gallery==
 
 
 
<gallery>
Image:Red Bougainvillea in Malaysia.jpg|Maua mekundu ya buganivilia nchini [[Malaysia]]