Fly (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|Mwendo wa mto Fly pamoja na mahali pa migodi ya OK Tedi '''Fly''' ni mto mrefu wa Papua Guinea Mpya pia kwenye kisiwa cha [[Guinea Mpya...
 
No edit summary
Mstari 10:
 
===Migodi ya dhahabu inachafusha mto Fly===
Kuna matatizo mazito ya machafuko kwenye mto flyFly. Migodi ya ya kampuni ya [[Ok Tedi Mining]] Ltd karibu na chanzo cha mto OK Tedi inateremsha mchanga nyingimwingi pamoja na kemikali katika mto. Uchimbaji wa dhahabu na shaba hutumia kemikali za sumu kama vile zebaki na nyingine zilizosumisha maji na samaki mtoni. Kiasi kubwa cha mchanga na udongo cha tani milioni 80 chaingia mtoni kila mwaka na kuziba lalio wa mto na kusababisha mafuriko. Mafuriko ya maji yenye sumu yamesababisha kufa kwa misitu na bustani za watu kando la mto.
 
Kesi mbalimbali zimeendesha na kampuni imeahidi kubadilisha namna ya kuzalishwa kwa madini na kufidia watu waliopata hasara.