116 Clique : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox musical artist | Jina = 116 Clique | Img = | Background = group_or_band | Jina la kuzaliwa = | Amezaliwa = | Amekufa = | Aina = Nyimbo za Kikristo za aina ya ''Hi...'
 
No edit summary
Mstari 16:
| Wanachama wa zamani =
}}
[[Picha:Lecraewiki.JPG|thumb|300px|right|Mmoja wa wasanii wa kundi hili, [[Lecrae]] akiimba katika tamasha]]
 
[[Picha:Triplee.jpeg|thumb|200px|right|[[Trip lee|Trip Lee]]
'''116 Clique''' ni kundi la muziki la aina ya ''hip hop'' ya Kikristo linalotoka [[Dallas]], [[Texas]].Kundi hili huwa na mkataba wa kurekodi muziki zao na studio ya [[Reach Records]]. Kundi hili huhusisha wasanii ambao wengi wao hurekodi katika studio za Reach Records. Kundi hili linatoa jina lao la 116 Clique kutoka mstari wa [[Biblia]] haswa Warumi 1:16. Mstari huu huzungumza kuhusu kutokuwa na aibu katika Injili kwa sababu ya uwezo wa Mungu huleta ukombozi wa yeyote anayeamini: kwa Myahudi kwanza na pia kwa mataifa mengine yote. Hivyo basi, kundi hili hutambua uwezo wa Injili na wao hujaribu kuitangaza na kuitumia katika maeneo yao yote ya maisha. "Tunaweza kuweka maisha yetu kando na kumtumikia na kumtukuza Mungu katika lolote tufanyalo." Baada ya albamu yao ya kwanza ,''The Compilation Album''(Albamu ya Mkusanyiko) (2005), DJ Primo alirekodi hizo nyimbo hizo tena akizichanganyachanganya na kutoa albamu ya ''The Compilation Album: Chopped & Screwed: Special Edition''. Albamu hii ya kuchanganywa ilitolewa katika mwaka wa 2006 ikihusisha nyimbo nne za kuongezwa. Kundi hili likaenda ziara ya ''Unashamed'' katika mwaka wa 2008. Hapo baadaye katika mwaka wa 2009, [[Lecrae]], Tedashii, Sho Baraka, [[Triplee|Trip Lee]] na Flame wakaenda ziara ya ''Don't Waste Your Life''.
Mnamo Oktoba 2009 - Novemba wasanii Lecrae, After Edmund, Sho Baraka, Tedashii, na Mikeschair wakazuru katika ziara ya ''AlteredMinds.'' LeCrae, Tedashii, Trip Lee, na Sho Baraka ,hivi sasa, wanazuru wakiwa wasanii binafsi.