Otago Daily Times : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 23:
==Historia==
 
Gazeti la ''ODT'' lilianza kuchapishwa mnamo tarehe 15 Novemba, 1861. Hili ndilo gazeti kongwe kabisa la kuchapishwa kila siku nchini [[New Zealand]]. Gazeti jingine kongwe ni la Christchurch , ''The Press'', ambalo ni kongwe kuliko ''ODT'' kwa miezi sita , lilikuwa gazeti la kuchapishwa kila wiki katika miaka yake ya kwanza lakini likabadilika na kuwa la kila siku.(Hivyo basi ''ODT'' ndilo kongwe katika sekta ya magazeti ya kila siku.)
 
Gazeti la ''ODT'' lilianzishwa na W.H. Cutten na Julius Vogel (hapo baadaye akaitwaaliitwa Sir Julius) katika nyakati za uchimbuzi wa dhahabu katika eneo lao la Tuapeka, mojawapo ya maeneo ya [[Otago]] yaliyopatikana kuwa na dhahabu. Cutten alikuwa mchapishaji wa gazeti la kila wiki la ''the Otago Witness'' lililoanzishwa katika mwaka wa 1851. Vogel naye , mwanzilishi mwenzake Cutten, aliliona gazeti hili la ODT kama mbinu ya kutetea na kupinga sera mbalimbali katika serikali ya mikoa.
 
Kutoka kuanzishwa kwake, ''ODT'' lilikuwa na msimamo imaradhabiti katika soko la magazeti yakatika eneo la South Island. Magazeti mengine pinzani ya Dunedin yalikwisha haraka(labda kwa kushindwa na ''ODT'' huku gazeti la ''Evening Star'' pekee yake likifikalikiweza kufika miaka ya 1900. Wamiliki wa ''Star'' walinunua gazeti la ''ODT'' na kufungakuachisha uchapishaji wa ''Star'' katika mwaka wa 1978 kwa sababu idadi ya wasomaji ilikuwa ikididimia.Kama matokeo ya hayo, kampuni ya Allied Press inachapisha ''ODT'' na magazeti mengine madogo kote nchini [[New Zealand]], kwa mfano: ''Greymouth Evening Star''.
 
Gazeti la ''ODT'' huonekana kama gazeti baba kwa magazeti mengine manne makuu ya kila siku ya New Zealand. Gazeti hili lina usambazaji wa nakala 43,000 na wasomaji takriban 110,000.
 
==Sera zake==