Kampuni ya Viatu ya Goodwill : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 16:
 
==Historia==
'''[[Kampuni ya Viatu ya Goodwill]]''' ,pia, hujulikana kama '''Viatu vya Arthur A. Williams''' (likiitwa jina hili kwa makumbusho ya mwanzilishi wake).Kampuni hii huunda viatu vya ngozi na vya kutiwa chuma ndani vya aina ya "Safety First." (yaani vya kujichunga kutokana na kujiumiza).Kampuni hii ilkuwailikuwa miongoni mwa kampuni za kwanza kuunda viatu vya aina hii. Haswa, ilikuwa mojawapo wa kampuni kubwa kabisa zilizounda buti za viwanda katika miaka ya 1930. Kampuni hii ilitumbukia katika dimbwi la madeni hapo katikati ya miaka yamwa karne ya ishirini.
 
Kilichojengwa katika mwaka wa 1909,kiwandaKiwanda cha Kampuni ya Viatu ya Goodwill(kilichojengwa kinapatikana,hivikatika sasamwaka wa 1909), kinapatikana katika barabara ya 26-28 Water Street [[Holliston]],[[Massachusetts]].
 
"Huu ni mfano wa kihistoria wa kiwanda kubwakikubwa cha maonyesho kilichojengwa katika kilele cha ujenzi katika sekta ya viwanda yavya maonyesho,. Kiwanda hiki kilijengwa kwa faida ya utengenezaji wa viatu vizito vya wakulima na wanamichezo. Majengo yao mawili ya mbao yanapatikana katika pande mbili zote za barabara ya Water Street na yalikuwa yameunganishwa kwa daraja katika gorofa la pili na lilipita juu ya barabara hiyo. Vilevile,kulikuwa na njia ya kupitia iliyokuwa chini ya ardhi ya barabara hiyoya Water Street. Jengo lililokuwa katika upande wa mashariki wa barabara hii lilikuwa la magorofa manne , upana wa futi 190 na mnara ambao ulikuwa na paa ya sleti.Jengo lililokuwa katika upande wa magharibi lilikuwa la magorofa matatu na upana wa futi 10. Majengo yote yanaonyesha mabango yao ya hapo awali yaliyokuwa na alama za 6/6."
Hii ni ripoti ya Idara ya Ndani ambayo ni muhtasari ikieleza vizuri kuhusu majengo hayo. Mwandishi wa makala haya ni Monica E. Hawley,[[mwanahistoria]].